*🚜 SUPER GRO – MBOLEA YA KISASA KWA WAKULIMA WA KISASA 🌱*
Unalima mazao kama mahindi, mpunga, mboga, matunda au tikiti maji?
*Super Gro* ni suluhisho la kuongeza mazao yako kwa kutumia mbolea ya asili isiyo na kemikali kali.
✅ Hufanya mbolea kuingia vizuri kwenye udongo
✅ Husaidia mimea kustahimili ukame
✅ Huvunja ganda la maji na kuruhusu unyevu kupenya kwa urahisi
✅ Husaidia wakulima kuongeza mavuno hadi mara 2
🧑🌾 Wakulima wengi wameshaona mafanikio — usiachwe nyuma!
*Delivery inapatikana mikoa yote Tanzania.*
📞 Wasiliana: *0753588652
📦 Tunakuletea hadi ulipo.
.jpeg=w352-h352-p-k-no-nu)
0 Comments